usingizi wa mchana mtamu mwee

Ukilala mchana utawajibika saa ngapi, maana riziki hutolewa kweupe

Taabu ya vitambi namna hii ni mashuzi looh, Hapo unaweza kukuta kaachia mashuzi kama kumi na sita hivi
 
jamaa linaonekana vivu balaa. Hebu angalia mtumbo ule, linaonekana linapenda kula na kulala tu.
 
Haaaa hyi pix funga kazi,jamaa ni tailor,naona mashine kwa nyuma!! Kitambi nomaaaa!
 
mbona hamsemi chuchu saa 6 mnang'ang'ana na kitambi tutututututut
 
Fundi kwa tumbo hilo miguu na mikono itafika kwenye mashine? Tumbo litazuia.

Sidhani atakua anapata tabu sana ktk upimaji kuinama kupima miguu round ile yani inabidi ajinyime kula na afanye mazoezi kupunguza ndambi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…