usingizi wa mchana mtamu mwee

Fundi mshonaji!!
Ana bonge la chain na kitambi.....!!
 
Hakuna raha kama usingizi bana!
 
ugali maharage unalewesha ikichangiea na hicho kitambi hatari kabisa
 
Ukilala mchana utawajibika saa ngapi, maana riziki hutolewa kweupe
 
Duh usingizi wa mchana mtamu sana...sasa hicho kitambi cha halbadiri au mbona kimevimba lol

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Reactions: awp
Jamani hilo tumbo....mhhhh....mazoezi jamaniiiiiiiii
 
tumbo kama hilo unaweza kuachwa na wife wakafaidi wengine,...acheni kufuga vitambi wanamme
 
Duniani watu tuko tofauti wengine wanafuga Ng'ombe wengine wanafuga kitambi.
 
C6 nitake radhi! umeweka picha yangu bila ridhaa yangu,, si unaona sasa wanavyoniumbua!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…