Brainy Chick
Member
- Mar 9, 2013
- 64
- 21
Wewe Judgement wewe,unasemaje?Niletee mizizi ya Jatropha Curcas Tree (tafuta mti jike)
Then niletee Yai la Mbuni, na Ubani mweupe.
Kisha nikutengenezee dawa , bei mapatano! Nimeshawahi kuwatengezea King'asti , Kipipi, Mamndenyi, The secretary na Passion Lady ! Tena wewe una nafuu hao niliowataja walikua wanasinzia hadi gemuni , kwa mujibu wa walivyokua wakilalamika . Nikawashughulikia.
Uko pemba sehemu gani mkoani,mtambwe,kojani au kisiwa panzi?
Niletee mizizi ya Jatropha Curcas Tree (tafuta mti jike)
Then niletee Yai la Mbuni, na Ubani mweupe.
Kisha nikutengenezee dawa , bei mapatano! Nimeshawahi kuwatengezea King'asti , Kipipi, Mamndenyi, The secretary na Passion Lady ! Tena wewe una nafuu hao niliowataja walikua wanasinzia hadi gemuni , kwa mujibu wa walivyokua wakilalamika . Nikawashughulikia.
Aiseee mbona my Passion Lady hakuwai kuwa na ugonjwa huu!
Nasinzia sana kazini hasa mida ya mchana! Nimejitahidi kuwahi kulala usiku but wapi!Naomba ushauri wa jinsi ya kupunguza tatizo hili wadau.
nunua selotepu...ukihisi usingizi tu, basi unaibandika katika selotepu kati ya kope na sehemu ya juu ya kope, hii itazuia kope kujifunga...
kama Tom & Jelly vile...!nunua selotepu...ukihisi usingizi tu, basi unaibandika katika selotepu kati ya kope na sehemu ya juu ya kope, hii itazuia kope kujifunga...
kama Tom & Jelly vile...!
Aiseee mbona my Passion Lady hakuwai kuwa na ugonjwa huu!
ndio unisaidie kumshangaa
@judgement!mi lini nilikua na dalili
za malale honey,shem ananionea tu!