Usingizi kazini!!!

Usingizi kazini!!!

Brainy Chick

Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
64
Reaction score
21
Nasinzia sana kazini hasa mida ya mchana! Nimejitahidi kuwahi kulala usiku but wapi!Naomba ushauri wa jinsi ya kupunguza tatizo hili wadau.
 
Niletee mizizi ya Jatropha Curcas Tree (tafuta mti jike)
Then niletee Yai la Mbuni, na Ubani mweupe.
Kisha nikutengenezee dawa , bei mapatano! Nimeshawahi kuwatengezea King'asti , Kipipi, Mamndenyi, The secretary na Passion Lady ! Tena wewe una nafuu hao niliowataja walikua wanasinzia hadi gemuni , kwa mujibu wa walivyokua wakilalamika . Nikawashughulikia.
 
Last edited by a moderator:

Wewe Judgement wewe,unasemaje?
Kama una ubavu wa kuhimili kifusi cha morogoro/kisutu road embu yarudie
 
Last edited by a moderator:
Wewe Judgement wewe,unasemaje?
Kama una ubavu wa kuhimili kifusi cha morogoro/kisutu road embu yarudie

Bishanga! Bishanga!
Unacheza na "waungwana" ujue?
Nitake razi kabla kesho haijapambazuka!
Naongea nikiwa Pemba ujue?
N'takushusha SHIPA lisilotoholeka ujue?
Hatopatikana wa kulinyausha!
Ohoooo!
 
Last edited by a moderator:
Bishanga! Bishanga!
Unacheza na "waungwana" ujue?
Nitake razi kabla kesho haijapambazuka!
Naongea nikiwa Pemba ujue?
N'takushusha SHIPA lisilotoholeka ujue?
Hatopatikana wa kulinyausha!
Ohoooo!
Uko pemba sehemu gani mkoani,mtambwe,kojani au kisiwa panzi?
 
Last edited by a moderator:
Uko pemba sehemu gani mkoani,mtambwe,kojani au kisiwa panzi?

Kwa Haji Tumbo, kwa Mz. Alma'arufu Vuai Makame Pandu, ulizia hata mtoto mdogo atakuleta. Yaani hapa kuna mandingo hata ya kuwafanza Mods wanapigwa mafusho kile kitufe cha ban hawakioni !
 
sasa wewe kigagula
mbona unatoa siri za wateja?
mi nitaachika ujue!
 
Last edited by a moderator:
nunua selotepu...ukihisi usingizi tu, basi unaibandika selotepu kati ya kope na sehemu ya juu ya kope, hii itazuia kope kujifunga...
 
nunua selotepu...ukihisi usingizi tu, basi unaibandika katika selotepu kati ya kope na sehemu ya juu ya kope, hii itazuia kope kujifunga...

loooool watu8 hahaaa!
 
Last edited by a moderator:
Tumia dawa aina ya piriton kila unapohisi usingizi tatizo la kusinzia litaisha papo hapo
 
nunua selotepu...ukihisi usingizi tu, basi unaibandika katika selotepu kati ya kope na sehemu ya juu ya kope, hii itazuia kope kujifunga...
kama Tom & Jelly vile...!
 
ndio unisaidie kumshangaa
@judgement!mi lini nilikua na dalili
za malale honey,shem ananionea tu!

Don't panic my dear Shem!
Coz a certain disease does not havin practice to spread frm one person to another or inherited! It's not a fatal disease , many pipo recover as if they gettin early treatment.
Hakuachi banah! Acha uoga!
 
Brain Chick unajua maana ya ID yako?

Kama unajua basi usingeweka hoja yako hapa kwa kuwa sehemu yake stahilivu ni JF DOCTOR.

Hapa wataichakachua mpaka basi.

NIMEMALIZA.
 
Last edited by a moderator:
Kwa Haji Tumbo, kwa Mz. Alma'arufu Vuai Makame Pandu, ulizia hata mtoto mdogo atakuleta. Yaani hapa kuna mandingo hata ya kuwafanza Mods wanapigwa mafusho kile kitufe cha ban hawakioni !

Judgement una akili sana wewe!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom