Usingizi katika katiba

Usingizi katika katiba

Edson Zephania

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2011
Posts
517
Reaction score
112
Sheria ya usingizi ya mwaka 2012 ibara ya 2, inasema;- "ndoto ni haki ya msingi ya kila asinziaye" kifungu cha 3 (c) cha sheria hiyo kinampa haki mtu yeyote kulala na kuota ndoto na kutakiwa au kumtakia njozi njema mtu ampendae, Kifungu cha 3 (d) kinasema;- "mtu yeyote atakae mkatisha mwingine usingizi wake atapewa adhabu ya kusinzia siku "tatu" bila kuamka au faini ya kumnunulia mlalamikaji godoro, ibara ndogo 3 (d)(iii) inasema;- "kama mtu amekupigia simu simu usiku na hukupokea basi utakapoamka umpigie kumuomba radhi vinginevyo utatakiwa kumtumia vocha" NAOMBA NITUMIE HAKI YANGU YA KIKATIBA KUWATAKIA USIKU MWEMA
 
Back
Top Bottom