MKUU fafanuaHabari wana jf, naomba mwenye ufaham wa namna ya kusindika nyanya kuwa tomato souce na pilipili kuwa chillsouce, pia vifaa kama mashine na vichanganywa pia gharama zake, nataka nii-ingize ktk baget
nawakilisha
MKUU fafanua
1. Unataka kuzalisha nyingi za kuuza? Au kutumia nyumbani?
2. Kama za kuuza je unaplan ni tani ngapi kwa siku unataka kuprocess??
Unaweza kufanya manually jikoni kwako.
Uwe na nyanya na pilipili za kutosha, uwe na brenda ya kusagia, chujio la kuchujia, maji safi na salama ya kutosha, vyombo vikubwa na vya kutosha.
Endelea kufuata hizo video
Yap hii ni factory kubwa let say 1000 tonnes per day.Chipukizi
Pia hiyo attachment ya kwanza tomatobased chart ni ya kusindikia au?
Yap hii ni factory kubwa let say 1000 tonnes per day.
1.Sajiri kampuni BRELA
2.Tengeneza na Sajiri nembo ya biashara yako e.g King tomato souce
3.Sajiri bar code ya product yako
4.From world known tomato souce formulation (ipo amabayo ndo wote wametengeneza zao tokana na hiyo)come up with your taste ( make it differ from other brand or just make it normal one and send sample to TBS
Once TBS wamekupa 100% Go ahead ndo uanze kutengeneza..
Design ya chupa ni muhimu pamoja na labeling yake kuwa na mvuto pia ni muhimu.
2 millions zinaweza kukupatia mashine za kuanzia,ila unahitaji pesa zaidi za usajiri,packing materials design and production)
Eneo la kuzalishia hiyo product usafi wake ni muhimu.
Iwapo ningepata muda wa kuonana na wewe ningeweza kukusaidia mpaka ukaanza uzalishaji,unaweza ni PM tu check na mida kwani at this time sipo Sana mjini nna kaproject kananiweka Sana maporini mpaka imalizike September ila all the best
Ndio ni lazima asajiri .hii inamanufaa kwakeNilazima asajiri kampuni? au hata jina
Ndio ni lazima asajiri .hii inamanufaa kwake
1.kujulikana kitaifa
2.Benk kuweza kumapatia mikopo hapo baadae
3.itamlahishishia kupata masoko kiraisi,
Unaweza anza na business name Brela kwa 12,000 Tzs
Yap anafungua non limited company. Kwanza hii itamwezesha Ku apply vibali mbalimbali pamoja na TBS,TDFA,Leseni ya biashara n.k.Nimekupata, hivi hiki tutakiita kiwanda au? na business name inaruhusiwa kuzalisha product kama hizi za mleta mada?
Chipukizi
Asante sana kwa ushauri wako, kwa kua imelazim kupitia usajiri wa kampuni kwanza non-limited, naomba wataaram wa mambo haya ya kusajiri wanipe ushauri hapa, naomba Busiminate na ANJOA CPN pitieni hapa mnishauri baada ya kusoma thread hii, sababu itanilazimu niombe likizo october ili niende dar kusajiri
Habari wana jf, naomba mwenye ufaham wa namna ya kusindika nyanya kuwa tomato souce na pilipili kuwa chillsouce, pia vifaa kama mashine na vichanganywa pia gharama zake, nataka nii-ingize ktk baget
nawakilisha