Usindikaji wa maziwa fresh

Six Time

JF-Expert Member
Oct 17, 2019
209
140
Habari wapendwa poleni na majukumu.

Mimi nikijana mjasiriamali na nimekua nikipita kwenye supermarket nyingi kuangalia bidhaa zinazozalishwa hapa nchini, na mojawapo niliyo kutananayo ni Maziwa fresh kutoka Tanga na Kilimanjaro nikatokea kuvutiwa nayo.

Kwa ufupi ni kwamba, naomba mtu mwenye ujuzi wa jinsi ya kusindika anisaidie /atusaidie kutupa elimu ya usindikaji wa mazi wa fresh.

Barikiwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No yake ni hii 0764799179 naona kapotea sana humu jamvini lakini nina video za you tube sijui jinsi ya kuupload.
Ningekusaidia kuweka ukaona.

Nami niko njiani kufanya usindikaji tutakutana huko huko.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom