Usindikaji bora wa maziwa

Usindikaji bora wa maziwa

ISAYA JACKSON

New Member
Joined
Oct 30, 2020
Posts
3
Reaction score
0
Habari,

Naomba muongozo sahihi juu ya usundikaji bora wa maziwa mgando kwa kutumia culture.
 
Habari,

Naomba muongozo sahihi juu ya usundikaji bora wa maziwa mgando kwa kutumia culture.
Mbona culture za kusindika zina maelezo full ya namna ya kutengeneza ,soma nyuma ya box za culture,au wewe unatumia culture za mtaani
 
Back
Top Bottom