Usimwamini sana mwanamke

Usimwamini sana mwanamke

Ule msemo wa akili ni mali una maana sana endapo utatumiwa vyema kivitendo...hasa kwa vijana wa nyakati hizi ambao wanaonyesha udhaifu mkubwa kwenye matumizi ya akili zao....na badala yake wanatumia mioyo yao mepesi kufanya maamuzi yanayoathiri sehemu za maisha yao.....ifike wakati watu wajue kuwa tumepewa mibichwa mikubwa si kwa sababu ya kunyolea mapanki na kufugia nywele badala yake kuna hadhina kuu humo....ambayo wenye kuitumia vyema ndio wenye kufanikiwa....
 
Back
Top Bottom