Usimwamini mwanamke hata kama unamtania

Usimwamini mwanamke hata kama unamtania

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,746
Reaction score
25,639
Aliesema "USIMWAMIN MWANAMKE​
HATA KAMA UNAMTANIA" hajakosea huu msemo umekamilika na wala
hauna mapungufu yoyote kabisa twende pamoja ili uamini huu msemo kama upo chuo kimoja au shule moja au wote mpo facebook au twitter bbm ndio utaamini kwa sana huu msemo.

Mmnunulie gift yoyote eg. Card, toy maua au kitu chochote mpenzi wako kaa siku mbili muulize ile gift unayo utakuta kashahonga na yeye kashampa bwana ake mwingine.

Buni SMS ya ukweli kisha msifie alafu umtumie balaa lake utaona kesho na yeye kashamtumia bwana ake mwingine

Mpe hela labda laki hivi mwambie hii nenda kasuke na uitumie na matumizi yako mengine hapo hapo nusu ya hela yako anapewa mwanaume mwingine.

Mtoe out muoneshe sehemu nzuri za kukaa mtu na mpenzi wake kesho tu atakuomba hela alafu atakapeleka kabwana kake sehemu ambayo umemuonesha. Mwambie siri zako zote uone anavyozianika.

Mwambie baby kesho njoo nyumbani peke yako nataka tutoke uone wanavyokuja
hostel nzima balaa sana.

Mpangishie chumba kitanda chako kodi unalipa wewe hela kula unamwachia
pata dharula safiri umwache peke yake uone unavyosalitiwa kwenye kitanda
chako shuka lako chakula chako.
 
Duuuh sitasahau ukweli mchungu enzi hizo za chuo "hata hizo hela na vitu ninavyokupa huwa napewa na P" hio ni baada ya kubaini tuko foleni sikuamini kumbe kuna mtoaji na mpokeaji.
 
Wapo wenye akili zao hayo yote hawafanyi lakini kuna ile midubwasha ni hatari sana inafanya yote hayo.
 
tusiwalaumu ndivyo walivyo umbwa akilizao km kimo cha mkojo wao!!!!!
 
Mie nimekutana sana na hayo mambo hapa Dom,
Nakusanya vihela vyangu vya majeneza nakahonga kanachuo ka pale "Siibii" kumbe kana dogo mmoja wa kiarabu anakatafuna nyuma kisha kanamuhonga zile pesa zangu nyambaff.!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom