Usimwambie mkwe wako SIRI katika maisha yenu ya mme na mke,Pata kisa hiki.!!!!1 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usimwambie mkwe wako SIRI katika maisha yenu ya mme na mke,Pata kisa hiki.!!!!1

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mzee Wa Rubisi, Feb 27, 2011.

 1. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Siku moja kijiji X kulitoa kisa hiki.
  Baba k na mama k, walikuwa
  Bahati mbaya mpini hule ukamkosa kunguru na kufikia mtoto wa jina yakadiriwa umri wa miaka mitano na kupiga kichwani na kufariki hapohapo.Kiwewe kilitawala kwa babak na mamak kwa kuua mtoto wa jirani yao.Wakafikili nini wafanye baba ya mauwaji yale.

  Babak,akamshauri mke wake kumzika mtoto yule na hiwe siri yao,
  Mamak,Akakubaliana na ushauru wa mme wake.

  Basi maiti hile ya mtoto wakaamua kuizika ndani ya nyumba yao chumba chao wanacholala.Majira alitafuta mtoto kwa juhudi zote bila ya mafanikio.Kwa mila zao wakaamua kufanya matanga ya mtoto wako kama amekufa.
  Maisha ya babak na mamak yakaendlea kawaida baada ya kujilizisha kuwa hawakubainika na mauwaji yale.


  Yapata miaka miwili tangu wazike maiti ya mtoto wa jirani,Babak akaamua kumweleza rafiki yake wa karibu sana BabaJ.
  Rafiki yangu babaJ hapa nilipo ninatatizo linautesa moyo wangu kila nikikumbuka nakosa amani.
  BabaJ,akauliza nini rafiki hata mimi nakuona afya yako siyo kawaida kwani,nini kimetokea?
  Babak,WAKUMBUKA kuwa mtoto wajirani yangu pale alipotea
  BabaJ, Ndio,kwani vip,we,linakuusu nini,?
  Babak,Mtoto yule hakupote.bali nilimuua kwa bahati mbaya.
  BabaJ, Rafiki wasema nini !!!,YAKWELI MANENO YAKO?
  Babak,Ndio Kama nilivyokueleza kisa na kuamua mimi na mamak kumzika maiti hile ndani ya nyumba yangu.
  BabaJ,Kama mke wako anajua SIRI hiyo,Rafiki siyo risi tena
  Babak,Kwanini wasema hivyo,ni muda sasa na walasijasikia kama imevuja.
  Babaj, Hitavuja hiyo siri,
  Babak, Nini nifanye sasa rafiri
  BabaJ,Sasa mwandalie mamak safari ya kwenda kwao kusalimia mpe kila kitu,zawadi za kupelekea ndugu zake na akae kama mwezi na rudi.
  Babak,Kweli akatekereza hilo na mamak akasafiri kwenda kwa wazazi wake kwa furaha.
  BabaJ,Akafika nyumbani kwa babak na kumweleza kuwa wafukuwe maiti hile na kwenda polini na kuizika.Pia wauwe MBWA na kumzika pale pale walipozikuwa maiti ya mtoto,Atimaye zoezi hilo likafanyika kwa ufanisi.

  MAMAK ,akarudi toka safarini namaisha yakaendelea kamakwaida.Baada ya miaka 3 ukatokea ugonvi mkumbwa sana kati ya babak na mamak,MAMAK AKAITOA SIRI HIYO KWA MAJIRANI KUWA BABAK ANATAKA KUNIUA KAMA ALIVYOUWA MTOTO WA JIRANI.
  Jirani kusikia hivyo wakaleta polisi,mamak akawekwa chini ya ulizi na kueleza kisa chote cha mauwaji.Babak akakamatwa na kukana mauwaji kasema mke wangu anasema hivyo kwa kuwa tumegombana.
  Polisi na wanakijiji wakafukua chumba cha babak na mamak WAKAKUTA KUMEZIKWA MBWA.
  Babak,akajitetea kuwa hilo nitambiko lake la biashara.
  Mamak ,Akaenda jela miezi 6 kwa kuatarisha maisha kijiji pale,
  Babak akaenda kumshukulu rafiki yake BabaJ kwa mbinu hile

  Je,UMEWAI MWAMBIA MKEO SIRI ????   
 2. s

  shosti JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mhh hadithi yako ina tufundisha nini:rain:
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  We nawe...hapo hajamwambia walikua wote!Alafu mafunzo yako sio mazuri!Mara nyingi siri ni mzigo...na kama alivyomwambia rafiki yake akapata suluhisho ndivyo inavyotakiwa!
   
 4. M

  MKAROLINA Member

  #4
  Feb 27, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmmmmh kweli hili ni fundisho sana kwa wanandoa, sio kwa wanawake tu bali kwa wanaum epia, ili kuishi kwa amani lazima ujue jinsi ya kutunza siri.

  Hii nimeipenda...
   
 5. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #5
  Feb 27, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Unamaanisha kuwa wanawake hatuna siri sio??
   
 6. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #6
  Feb 27, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Jamani mbona penye "H" umedondosha "h" na ambapo hapatikiwi kuwa na "H" umeweka?? haya
  Swali ni kwamba je Baba K akijakugombana na Baba J itakuaje?
   
 7. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #7
  Feb 27, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Hamna siri ya watu 2......
   
 8. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #8
  Feb 27, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mnapokuwa mmekasirika..... that is according to ze hadithi!!!:A S 13:
   
 9. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #9
  Feb 27, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Duu
   
 10. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #10
  Feb 27, 2011
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  stori ingine bana
   
 11. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #11
  Feb 27, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  wanawake ukweli hawana siri kabisa na unapomuudhi ataropoka kila kitu mbele za watu mfano kama mwanaume hana kitu au hajui mapenzi au hamridhishi nk ataanika mapungufu yako yote mbele za watu.KIna dada wanahisi wakitoboa siri ndio amekukomoa.Nawashauri kina baba hata kama mna hela ndani ya nyumba kiasi kikubwa msiambie wake zenu manake majambazi wakija mama akibinywa atasema hela zilipo bilakuficha kitu.ni waoga sana.Ukitaka kuwatest hebu siku moja usiku rusha tu jiwe au omba mtu arushe jiwe kwenye bati la nyumba yenu uone atakavoanza kutetemeka na kupiga kelele tumeingiliwaaaaaaaaa ndio zao......yap kumbe mambo ni kimya kimya.
   
 12. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #12
  Feb 27, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Hamna siri ya mutu 2
   
 13. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #13
  Feb 27, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  nimependa unavyojiamini kuwa unawajua wanawake na kushauri namna ya kuficha siri za hela......ushauri wangu....rudia au kama hukufanya basi fanya utafiti zaidi.....
   
 14. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #14
  Feb 27, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  halafu nilikuwa nafikiria hicho kitu.
   
Loading...