Wa Nyumbani JF-Expert Member Mar 31, 2011 438 65 Apr 2, 2011 #1 Baba alimwambia mtoto wake, chukua hii sh. 500/=usimwambie mama yako kama nimelala kwenye chumba cha house girl. Mtoto akasema, "Baba wewe ni bahili sana, mbona mama alinipa sh. 1000/= aliponiambia nisikwambie kuwa amelala chumba cha dereva?
Baba alimwambia mtoto wake, chukua hii sh. 500/=usimwambie mama yako kama nimelala kwenye chumba cha house girl. Mtoto akasema, "Baba wewe ni bahili sana, mbona mama alinipa sh. 1000/= aliponiambia nisikwambie kuwa amelala chumba cha dereva?
Chimemena JF-Expert Member Feb 25, 2011 1,376 452 Apr 2, 2011 #3 mmmh! Kaz kwerkwer na haya mambo ya chandimu.