Usimvue nguo mume wako

Aminaaaaaa.. Hallelujah!!!


Mahondaw wa Smart911
 
Wasichana wengi sana kabla ya ndoa uitamani sana na hata kwa maombi, ila wakiishapata tu uanza kuibomoa, na hasa wakishapata vyeti au watoto, uanza kujiinua kiburi, lawama, kutopenda ndugu za mume, wivu na chokochoko tele, mwanaume yakimshinda na kuikimbia nyumba uanza kulilia tena kwenye nyumba za ibada na kwa waganga wa kienyeji, kulilia kuirudisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Abarikiwe huyu mzazi kwa kweli

[emoji252]You get what you work for not What you wish for [emoji252]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…