Usimuudhi mtoto

Usimuudhi mtoto

PNC

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
8,105
Reaction score
14,356
Dingi alimuuliza mwanawe; 'hivi we mtoto, ninapokupiga hasira zako unazimalizia wapi?'

Dogo akajibu: 'chooni'

Dingi akauliza tena: 'sasa chooni unamalizia vipi hasira zako?'

Dogo akajibu: kwa hasira huwa nasafisha tundu la choo kwa kutumia mswaki wako!.' Dingi akazirai..!
 
Anaweza sababisha dingi wake apoteze maisha
 
Dingi alimuuliza mwanawe; 'hivi we mtoto, ninapokupiga hasira zako unazimalizia wapi?'

Dogo akajibu: 'chooni'

Dingi akauliza tena: 'sasa chooni unamalizia vipi hasira zako?'

Dogo akajibu: kwa hasira huwa nasafisha tundu la choo kwa kutumia mswaki wako!.' akazirai..!
[/QUO TE]
Joke safi sana, ila hapo 'Baba kazirai' imeniharibia utamu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom