Execute JF-Expert Member Joined Sep 21, 2022 Posts 3,005 Reaction score 7,385 Apr 28, 2025 #1 Nimeona kijana tajiri aliyekuwa na biashara kubwa akizikwa kiurahisi kabisa baada ya kufa ghafla. Nikiwaza Ile fahari aliyokuwa nayo, nasema hapa duniani tuishi kwa upendo na unyenyekevu maana tunapita. Tujikite katika kutenda haki.
Nimeona kijana tajiri aliyekuwa na biashara kubwa akizikwa kiurahisi kabisa baada ya kufa ghafla. Nikiwaza Ile fahari aliyokuwa nayo, nasema hapa duniani tuishi kwa upendo na unyenyekevu maana tunapita. Tujikite katika kutenda haki.
kp kipanya44 JF-Expert Member Joined Jun 23, 2022 Posts 13,151 Reaction score 15,384 Apr 28, 2025 #2 Nikupe pole wewe kwa kulijua hili Leo🏃🏃
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,656 Reaction score 3,784 Apr 28, 2025 #3 Tunafanya kila siku, naamini tumezaliwa hivyo tu, sio hata kitu cha kutumia nguvu.
Masagala JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 4,567 Reaction score 9,080 Apr 28, 2025 #4 Nani Tena huyo
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,112 Reaction score 72,577 Apr 28, 2025 #5 Kufa ni lazima hata uweje ukiamua kutenda mazuri tenda mazuri
Mlatino Zeshalo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2014 Posts 2,237 Reaction score 3,769 Apr 28, 2025 #6 Nikiona hizi mada huwa nafikiria sana kuhusu akiba yangu benki. Nataman nikaichukue yote niitumie iishe lakini nawaza tena what if ikiisha na bado sijawa tayari kufa itakuwaje?
Nikiona hizi mada huwa nafikiria sana kuhusu akiba yangu benki. Nataman nikaichukue yote niitumie iishe lakini nawaza tena what if ikiisha na bado sijawa tayari kufa itakuwaje?