...amefanikiwa sana kwa sababu alikuwa anajituma sana kazini.Kutokana na kufanya kazi kwa bidii,John ana akiba ya milioni 15 benki.Kati ya hizo milioni 15,milioni 14.8 alizipata kama urithi baada ya kifo cha mjomba wake.