Usimuamini sana mtoto wa kike, kwenye mahusiano kuwa na kiasi

Siku ya kwanza nimefuma ujinga kwenye simu,halaf nikakausha, nikamuuliza maswali ya kumchora tu; ilikuwa psychological experiment ya kutosha ya kugundua kuwa wanawake ni cold hearted liars. Tena ukizingatia alikuwa mpole, classic, strict na wife material, basi hiyo siku nilinyoosha mikono. Nikasema ujanja wangu wote wa kuwachezea hawa viumbe, kweli siwajui.
That day, a monster was born.
Sio rahisi kukubali. Anaweza kubisha hadi ukajihisi unamsingizia. Ndiomaana tuliambiawa tuishi nao kwa akili
 
Hapana mkuu, si wa kwanza. Nilijaribu tu ku share hiki kisa. Kwasababu wahanga ni wengi.
sawa bwana pole sana naona demu alikuzidi ujanja kiaina maana kama ana mtu kumi kukupoteza wewe sio issue kwake issue ni wewe uliyekuwa na demu mmoja na ukampoteza wote
 
sawa bwana pole sana naona demu alikuzidi ujanja kiaina maana kama ana mtu kumi kukupoteza wewe sio issue kwake issue ni wewe uliyekuwa na demu mmoja na ukampoteza wote
Kweli hata me ndo nilivyoona hana cha kupoteza, japo aliendelea kunisumbua nikawa nampotezea.
 
at first ulianza vizuri kutomuambia makosa yake jus direct ..ulipaswa muacha vile vile ajiulze maswali had achoke mradi wewe ndo unaejua ukweli kumuhusu yeye ...

ukaja kuaribu baada ya kumwambia makosa yake then later on akaonesha kukudharau na kukuuliza maswali ya ajabu

hapo unakuwa umempa nafasi ya kushinda wakati mwanzo ulishinda wewe ...

NB ..mueleze mtu makosa yake yule unaetaka rudiana nae au uko tayari kurudiana nae ila kama haurud A simple text like it ova btn us is more than enough
 
Kweli hata me ndo nilivyoona hana cha kupoteza, japo aliendelea kunisumbua nikawa nampotezea.
siku nyingine ukiona demu anaanza kukuonesha wenge kama kutopokea simu au kutojibu msg kwa wakati ujiongeze mapema halafu uwe na demu wa Akiba usitegemee demu mmoja tu kama mama yako mzazi kuwa na wawili watatu akizingua huyu unahamisha majeshi kwa yule
 
at first ulianza vizuri kutomuambia makosa yake jus direct ..ulipaswa muacha vile vile ajiulze maswali had achoke mradi wewe ndo unaejua ukweli kumuhusu yeye ...

ukaja kuaribu baada ya kumwambia makosa yake then later on akaonesha kukudharau na kukuuliza maswali ya ajabu

hapo unakuwa umempa nafasi ya kushinda wakati mwanzo ulishinda wewe ...

NB ..mueleze mtu makosa yake yule unaetaka rudiana nae au uko tayari kurudiana nae ila kama haurud A simple text like it ova btn us is more than enough
Naam hapo ndipo tunapojifunza siku hadi siku. Makosa hayawezi kujirudia. Japo aliendelea kutaka nimrudie nikampotezea
 
Mwingine huyu kajiua, hadi mama mchungaji haaminiki.
20180731_182401.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom