Sasa sisi wanaume wapole tufanyeje
We jamaa una akili timamu, kwahiyo demu wako hujamuoa umpige kabisa???Hii ni Kwa demu au mke kote Ina apply huyo demu au mke anatakiwa akuheshimu akuogope na hapo hapo aogope kukupoteza
Siyo lazima umpige cheza na akili yake pale anapokukosea. Kwani mtu ukiwa na mchumba au dem unamwacha Aishi free anavyotaka yeye ? Akikutukana unachukua hatua gani ? Akikudharau unachukua hatua gani ?We jamaa una akili timamu, kwahiyo demu wako hujamuoa umpige kabisa???
Wapige maziwa ya kopoWatoto wataharibu matiti ya mke wangu. Sitaki mie
Na mbususu nayo sii wanaharibu wakiwa wanatokaWapige maziwa ya kopo
Ila asilimia kubwa ya wanawake wakizaa kwa namna yoyote wanapoteza uzuri ule wa awali, ila baadae wana rejuvenate.Na mbususu nayo sii wanaharibu wakiwa wanatoka
Hapana mzeya mie na watoto vitu viwili tofauti. Kwa kupenda mbususu huku nitawatesa tuu. Wacha nijifie na mbususu nazozipendaIla asilimia kubwa ya wanawake wakizaa kwa namna yoyote wanapoteza uzuri ule wa awali, ila baadae wana rejuvenate.
Ila lazima uache uzao mkuu, usikimbie agizo la Mungu, nendeni mkaijaze dunia
Siyo lazima umpige cheza na akili yake pale anapokukosea. Kwani mtu ukiwa na mchumba au dem unamwacha Aishi free anavyotaka yeye ? Akikutukana unachukua hatua gani ? Akikudharau unachukua hatua gani ?