Usimruhusu nasema usimruhusu

Eeh kumbe sio mambk ya minyanduano😲😲😲😲
 

Hii knowledge ni ya kuwafundisha vijana wadogo wanaozaliwa kipindi hiki. Laxima wasimame kwenye nafasi zao bila kuendeshwa otherwise vilio vitakuwa vingi
 
Hii knowledge ni ya kuwafundisha vijana wadogo wanaozaliwa kipindi hiki. Laxima wasimame kwenye nafasi zao bila kuendeshwa otherwise vilio vitakuwa vingi
Nashangaa Sana kuona Vijana Kutwa kuwalilia Hawa wanawake wanashushwa dhamani BIla kujua. Mtu anakujibu text baada ya masaa mawili wewe mjibu baada ya masaa tano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…