Usimruhusu mkeo kuuza baa usijesema sijakwambia

Didododi

JF-Expert Member
Jul 21, 2023
321
426
Katika harakati za kutafuta riziki huwa tunatumia njia mbalimbali.Lakini pamoja na hivyo kuna njia nyingine tukiweza kupata mbadala wake itakuwa vyema.Jana Katika harakati zangu za kupumzisha akili na kuisukuma weekend nikawa bana nakulakula misele pahala.Nikakutana na rafiki yangu flani Hivi akanambia vp heb tupitie sehemu kdogo tupashe.Nikawa kama nazingua hivi ila akanisisitiza basi hao tukawekana sawa pakuelekea.Kuna mahali ambapo ndyo nilitaka twende ila akanishauri twende baa flan inayomilikiwa na rafiki yake.

====

Tulipofika pale tukahudumiwa vizuri tukaendelea kupata.Kuna mama mmoja hivi mke wa mtu namfahamu mpaka na mume wake .Mme wake yeye anafanya kazi za magari ya mikoani.(Basi huyo Maza alikuwa miongoni mwa wahuduma hp) Du tumepiga vitu pale Ila kuna baadhi ya vitu vikawa haviko sawa .Ile mbishe ilikuwa na wahudumu kadhaa na walionesha customer care nzuri.Lakini moja ya jambo lililokuwa linanizuzua ni jinsi baadhi ya wateja walivyokuwa wanatomasa baadhi ya wahudumu akiwemo huyu mama bila hata kuonesha kutokukubaliana na hili.

Mimi niliconce kwa hy mama zaidi kwa kuwa mahusiano yake nayafahamu zaidi na mume wake ni mwenye kujali.Huyu Maza Kuna mtej mmoja baba mtu mzima alimkuwa akimfaidi sana katikati ya huduma Ile aliyokuwa akifanya ya kuhudumia wateja wengine.Yaani huyu mzee alikuwa amemuagizia bia kadhaa kiasi kwamba akipata kaupenyo flan alikuwa akijichanganya kwenye meza moja na hy jibaba wakiendelea kiyajenga.

[Mzee aliweza kumlegeza yl maza aisee]Huwezi amin kuna muda tumacho tulikuwa twekundu atar.(Huyu mama kwa nilivyosoma ni kama alikuwa na tittle flan pale coz sometime alionekana kuwahimiza wahudumu wengine kuelekeza huduma kwa wateja hk wakionekana kumtii naye akiendelea kufanya yake na mteja wake.

Mhhh wajumbe nilikaa kaa pale nikachomoka ila kwa nilivyokuwa nayaona hayakunipendeza kwani angekuwa single Maza ningesema hata ndyo sababu ila ni mama na ana mume na familia.

WAJUMBE USITHUBUTU KUKUTWA
 
Katika harakati za kutafuta riziki huwa tunatumia njia mbalimbali.Lakini pamoja na hivyo kuna njia nyingine tukiweza kupata mbadala wake itakuwa vyema.Jana Katika harakati zangu za kupumzisha akili na kuisukuma weekend nikawa bana nakulakula misele pahala.Nikakutana na rafiki yangu flani Hivi akanambia vp heb tupitie sehemu kdogo tupashe.Nikawa kama nazingua Hivi ila akanisisitiza basi hao tukawekana sawa pakuelekea.Kuna mahali ambapo ndyo nilitaka twende ila akanishauri twende baa flan inayomilikiwa na rafiki yake.

=======================
Tulipofika pale tukahudumiwa vizuri tukaendelea kupata.Kuna mama mmoja Hivi mke wa mtu namfahamu mpaka na mume wake.Mme wake yeye anafanya kazi za magari ya mikoani.Du tumepiga vitu pale Ile Kuna baadhi ya vitu vikawa haviko sawa .Ile mbishe ilikuwa na wahudumu kadhaa na walionesha customer care nzuri.Lakini Moja jambo lililokuwa linanizuzua ni jinsi baadhi ya wateja walivyokuwa wanatomasa baadhi ya wahudumu akiwemo huyu mama bila hata kuonesha kutokukubaliana na hili.Mimi niliconce kwa hy mama zaidi kwa kuwa mahusiano yake nayafahamu zaidi na mume wake ni mwenye kujali.

Huyu Maza Kuna mtej mmoja baba mtu mzima alimkuwa akimfaidi sana katikati ya huduma Ile aliyokuwa akifanya ya kuhudumia wateja wengine.Yaani huyu mzee alikuwa amemuagizia bia kadhaa kiasi kwamba akipata kaupenyo flan alikuwa akijichanganya kwenye mezani Moja na hy jibaba wakiendelea kiyajenga.(Huyu mama kwa nilivyosoma ni kama alikuwa na tittle flan pale coz sometime alionekana kuwahimiza wahudumu wengine kuelekeza huduma kwa wateja hk wakionekana kumtii naye akiendelea kufanya yake na mteja wake.
Mhhh wajumbe nilikaa kaa pale nikachomoka ila kwa nilivyokuwa nayaona hayakunipendeza kwani angekuwa single Maza ningesema hata ndyo sababu ila ni mama na ana mume na familia.

USHAURI:RIZIKI TUNATAFUTA ILA UKIWEZA KUMUEPUSHA MKE WAKO NA HILI NI VIZURI KWANI ANAWEZA AKAEPUKA VISHAWISHI AMBAVYO ANGEPITIA KULINGANA NA MAZINGIRA YA KAZ
Umeandika wangu wangu sana mkuu. No spacing. Inachosha hata kusoma
 
Mkuu achaa unaa na hi chai yako isiyokua hata na maandazi
 
Umeandika nyingi Sana 😆 kwa kifupi tu ungeandika muache mwanamke ukigundua anafanya kazi za bar
 
Pombe hata kunywa wewe na dada yako ni hatari sana...
Pombe ndo maana inaitwa mkojo wa firaauni..
 
Back
Top Bottom