mgeni10
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 1,107
- 370
Kama ni cha kutumia maji ni lazima ubomoe miundombinu yote ili kisafirishwe, maana ni mlima huo
Kama ni cha kutumia maji ni lazima ubomoe miundombinu yote ili kisafirishwe, maana ni mlima huo
Mkuu utamshitukia baada ya kujaza choo!
Huyu si anajaza choo siku moja.
Hata haitafika siku nzima huyu nadhani within hours tu atakuwa keshajaza....!!!!
akabidhiwe hifadhi ya mikumi itamfaa.
Unamchimbia choo yake ya muda nje...
Kuna tofauti kubwa kati ya KUNYA
. . . . .Yes! Akaongeze mbolea ya kutosha! But the question is si atamaliza majani na wanyama wote huyu?
Mimi kwa wazo langu kuna yule msomali kiongozi wa chama fulani pale Africa Mashariki huwa anapenda sana ujangili. Tumuuzie huyo huyo, atajua pa kumuuza.
au anaweza kuwa mtaji mzuri wa samadi...
Akijaza atatoka nduki kama bodaboda!akijaza atayatoa hakya nani vilee