Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,362
- 40,722
Naunga mkono hoja kwa asilimia 100%Ni upumbavu kwa mwanaume kumpigia goti mwanamke kwa sababu yoyote ile ikiwemo kumvalisha pete ya uchumba...
Isaya 4:1Ni upumbavu kwa mwanaume kumpigia goti mwanamke kwa sababu yoyote ile ikiwemo kumvalisha pete ya uchumba...
Don't be simp.
Mapenzi na upumbavu ni vitu viwili tofautiKupiga magoti ni mapenzi tu ya mtu kwa mtu wala haina maana it come naturaallyyyyπ
Umeniwahi nilitaka kusha hiyo verse. Maandiko Matakatifu lazima yatimie siku za mwishoIsaya 4:1
Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.
Especially mwanamke aisee..siwezi kujiweka chini ya mwanamke kwa lolote. Nakumbuka primary siku iyo mwalimu kakusanya madaftari halafu kaandika majibu ubaoni kagawa madaftari kwa wanafunzi tofauti tofauti tusahihishane daftari langu akampa demu nikalichukua, ticha akauliza vipi nikamwambia straight kabisa daftari langu halisahihishwi na mwanamke baada ya kubishana bishana akaamua kunisahishia yeye mwenyewe.Sidhani kama kuna binaadamu nitakayempigia magoti kwa jambo lolote
π€π€π€π€π€Ni upumbavu kwa mwanaume kumpigia goti mwanamke kwa sababu yoyote ile ikiwemo kumvalisha pete ya uchumba.
Ukishajiwekea akili kwamba mwanamke anakufanyia favour kukubali kuolewa na wewe basi wewe ni mjinga.
Ndoa inamgharimu mwanaume kuliko mwanamke, ndoa ni mafanikio kwa mwanamke kuliko mwanaume, majukumu ya ndoa yanamuelemea mwanaume kuliko mwanamke, mwanaume ndio mpambanaji mkuu wa familia kwaiyo wewe mwanaume ndie unafanya favour kumchagua yeye awe mke wako, she is the one supposed to kneel down.
Miaka michache ijayo wanaume tutaachana kabisa na suala la ndoa kwa sababu tayari tumeshagundua kwamba marriage is liability and a trap to us. Na ninakuakikishia wakati huo ukifika wanawake wataitafuta ndoa kwa tochi, so my sisters enjoy it while it lasts.
My brother, don't kneel down to give her that ring, stop all this romantic bullshit it doen't guarantee a lasting marriage. Women brings problems in your life, you are the one to be appreciated for your willingness to carry that burden called woman.
Don't be simp.
Mtu aliyepevuka akili kufanya jambo lisilo na maana mbele ya kadamnasi ya watu wenye akili timamu hiyo ni dalili mojawapo ya upunguvu wa akili ama tatizo la afya ya akiliwala haina maana
Sisi kwetu ujaluoni ndio tuone mwanaume mwenzetu anafanya huo ujinga tunamcharaza mapanga hapo hapo katikati ya shughuli ya engagementπππππππhata mi siwezi kubali mwanaume anipigie goti kwanza wanyakyusa hawawezi kubali