ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,049
- 61,375
Kama una mwanamke mna mahusiano naye na haujamuweka ndani basi usimtumie zaidi ya 20000 ndani ya Mwezi utakuja kujipiga makofi labda chakufanya we mpe hela ya vocha tu buku jero au 2000 kwa week.
Ukijifanya unamlea mchumba ukitegemea utakuja kumuoa Basi tambua ipo siku itabaki stori tu kwani huko alipo Kama Ni chuo au mtaani Ana mabwana wengine na shahidi simu yake.
Nasema ukweli japo Ni mchungu mwanamke wa kumpa 20000 Ni mke wako kwani atainunulia samaki au nyama Na chenji ataiweka akiba kidogo Na Mzigo atakupa utapiga mpk Basi Na bado atakuzalia watoto Na kukupa familia Na bado atakutunza siku ukiugua umelazwa.