Huogopi mamba aise maana kule kunasifika kwa hao wadude
aisee mkuu kwanza nipe pole hapa nilipo!
napata notification baada ya nusu saa! its boring..
Kuna hilo tatizo sio kwako tuu kaka. Kote kote ni same problem
utafiti Sio net work peke yake ila na mamba wameng'ang'ania msuli wake anajaribu kujinasua aache msuli akae uchi au aliwe na mambaSalama tu kaka, jana sijakuona kabisa. Mr Rocky yumo humu ndani ila mura yuko mbali sana hata network shida huko anapata notification baada ya siku mbili
tupo pamoja, naamini atatoka salama Excel.....!
mhhh watu wapo busy all the time!!:A S embarassed:Ina nini mama?