WeNaniKwani
New Member
- Jul 5, 2016
- 1
- 3
Usimfanye mwanamke akalia, chozi la mwanamke
ni la gharama sana. Tone moja tu la chozi lake linatoka na: Kwanza linachanganyika na eye liner ya 45,000,
na mascara ya 63,000 halafu likifika kwenye
mashavu inachanganyika na foundation 220,000
na poda ya 37,000, na hatimaye likigusa midomo
inachanganyikana na lipstick 79,000 na lip gloss
14,000. Chozi moja tu la mwanamke linaondoka
na sh. 458,000 So plz usimlize mwanamke.
Lakini unaweza kumliza mwanaume utaondoa tu
vaseline ya mgando ya sh 2,500.
Wanaume Oyee