BCT MEDIA
Member
- Aug 20, 2018
- 8
- 9
Wembe huwa na makali haswa lakini hauwezi kukata mti.
Shoka lina nguvu sana lakini ni vigumu kwake kukata hata nywele tu za kichwa cha mwanadamu.
Kila mtu ana umuhimu wake kwa namna yake, hivyo huna sababu ya kumdharau mtu, kwa hali yake ana uwezo wa kufanya lile usiloliweza.
Tushirikiane. Tufanye kazi kama Timu moja.
Tujenge nchi yetu.
Siku njema!
Sent from BCT Media