Usimdhamini 'foreigner' police... Nilinusurika kuingia lupango!

Wewe muongo,yani utoke kibaha,uje kisarawe sawa sasa uko maneromango umefata nini.? Au ndio njia ya kwenda dar iko maneromango.?yanikisarawe iko mbele ndio njia muafaka wa kwenda dar wewe unarudi nyuma maneromango.? Muongo wewe[emoji27]
 
Mkuu Mshana naomba msaada wa kupata materials kwa ajili ya kufanya smudging -Sage, sweet grass,cedar nazipataje hapa Bongo
 
Wewe muongo,yani utoke kibaha,uje kisarawe sawa sasa uko maneromango umefata nini.? Au ndio njia ya kwenda dar iko maneromango.?yanikisarawe iko mbele ndio njia muafaka wa kwenda dar wewe unarudi nyuma maneromango.? Muongo wewe[emoji27]
Kama hujui kitu uliza kwa utaeleweshwa... Kuna njia inatoka Bagamoyo kupitia mlandizi mpaka maneromango then unarudi Kisarawe unaifahamu?
 
[emoji15] mwisho wa story au utaendelea mkuu...
 
Kama hujui kitu uliza kwa utaeleweshwa... Kuna njia inatoka Bagamoyo kupitia mlandizi mpaka maneromango then unarudi Kisarawe unaifahamu?
Mpotezee tu maana hajui na anataka kuonyesha anajua.

Je ukimwambia unaweza kwenda makambako kupitia mlimba ifakara bila kufika iringa atakuelewa??
 
utoke mlimba utoboe Madeke then Lupembe uje ushuke Njombe,then Makambako 1,hawezi elewa huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…