Usilolijua kuhusu UKAWA Vs CCM

BABA E's

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
354
134

UKAWA
CCM
Wanachama

Wapo
Wapo
Wananchi

Wapo
Hakuna
MATOKEO 25[SUP]th[/SUP] October 2015

USHINDI
KUSHINDWA

HABARI Ndio hiyo!
 
Lowasa atapata kura nyingi sana ikiwemo 1 ya kwangu kama nitakuwa hai siku ya uchaguzi
 
Hizi ndoto hizi mtaacha lini kuota?
Unatoa takwimu ambazo hazipo na haziwezi kutokea chakushangaza mnapongeza na kupongezana... Huu ujuha kweli
 
mbona unapanic brother/sister pinga kwa hoja mkuu sio unapanic tu hizi ni siasa sio vita kumbuka mama yetu wote ni Tanzania hivyo wote ni ndugu
 
Hizi ndoto hizi mtaacha lini kuota?
Unatoa takwimu ambazo hazipo na haziwezi kutokea chakushangaza mnapongeza na kupongezana... Huu ujuha kweli

Kuweka kumbukumbu sawasawa mie kura yangu kwa lowassa.
 
Si jamani hivi wananchi si wajarib miaka mitano tuone upizani wataendesha serikali vp sio kushabikia chama kimoja kwani hakuna vyengine? Tuwaoe tuone miaka mitano kama hakuna la maana wananchi si wataamua 2020
 
Hizi ndoto hizi mtaacha lini kuota?
Unatoa takwimu ambazo hazipo na haziwezi kutokea chakushangaza mnapongeza na kupongezana... Huu ujuha kweli

Mkuu, hawa jamaa ukilaza wao huwa unanishangaza sana.

Yan mtu kapost pumba halafu wanasifiana.

Kazi ipo.
 
Si jamani hivi wananchi si wajarib miaka mitano tuone upizani wataendesha serikali vp sio kushabikia chama kimoja kwani hakuna vyengine? Tuwaoe tuone miaka mitano kama hakuna la maana wananchi si wataamua 2020

Tufanye maamuzi ya uhakika na sio kufanya majaribio.
 
Back
Top Bottom