Sawa tumekupata kiongozi, ila Kuna bidada mmoja namsubiria hapa aje atoe ya moyoni, yule hakosi jambo hapa hakikaView attachment 333037
Si kitu kigeni kabisa miongoni mwetu na hata baadhi yetu tunazo tumezivaa, zinaitwa Pete za bahati.Kiuhalisia si Pete za bahati ni Pete za kishetani ni Pete za maagano ni za kuzimu,ukivaa ile ni sawa na kupigwa mhuri.
Wengi wanaozivaa haziwasaidii kivile na nyingi hazina nguvu kivile kwakuwa ni za kitapeli zilizo halisi ni very powerful na zinafanya mambo yaliyokusudiwa
Maisha yako Mungu ndie ayajuaye kushindwa kwako kushinda kwako kuna yeye (kwa wale waamini na waaminio )
Maisha yana changamoto nyingi na kuna wakati katika maisha kila kitu huyumba na kupoteza mwelekeo kabisa lakini ukiwa mvumilivu na kusimama na Mungu wako yatapita na utasimama tena.
Kuna kufanyiwa mambo mabaya machafu ya kuharibu future ya mtu mara nyingi ushirikina ukitumika,lakini usitende kinyume na Mungu simama naye usiende kwa waganga wengi ni waongo na matapeli.
Ikifikia uamuzi wa kwenda huko hakikisha unaenda kwa mtu sahihi mwenye tiba sahihi kwasababu haya mambo pia yapo lakini ogopa kubebeshwa maagano na mihuri ya kuzimu kwenye mapete ya bahati ili usije kuwa mtumwa maisha yako yote badala ya kumwamini Mungu unayaamini mapete.
Kuna mengi kwenye hizi Pete ivae ukiwa unajua kwa hakika umevaa kitu gani.
***Kama ya lowassa?
Nimeona wengi wanayavaa lakini kifo kikiwafika huwa wanavuliwa tu
Umeona sentesi hiyo tu***
huyo tu ndiye uliyemuona.../
Sikuwa na maana hiyo kwani wengi wanavaa ni mfano tuHapana tusiende huko ili tuweze kufurahia post yetu...zikishaingia siasa hapa yatakuwa mengine
***Umeona sentesi hiyo tu
unaweza kunipa ambayo ni nzuri ya kuniwezesha kushinda udiwani kata ya tulya mwaka 2020?View attachment 333037
Si kitu kigeni kabisa miongoni mwetu na hata baadhi yetu tunazo tumezivaa, zinaitwa Pete za bahati.Kiuhalisia si Pete za bahati ni Pete za kishetani ni Pete za maagano ni za kuzimu,ukivaa ile ni sawa na kupigwa mhuri.
Wengi wanaozivaa haziwasaidii kivile na nyingi hazina nguvu kivile kwakuwa ni za kitapeli zilizo halisi ni very powerful na zinafanya mambo yaliyokusudiwa
Maisha yako Mungu ndie ayajuaye kushindwa kwako kushinda kwako kuna yeye (kwa wale waamini na waaminio )
Maisha yana changamoto nyingi na kuna wakati katika maisha kila kitu huyumba na kupoteza mwelekeo kabisa lakini ukiwa mvumilivu na kusimama na Mungu wako yatapita na utasimama tena.
Kuna kufanyiwa mambo mabaya machafu ya kuharibu future ya mtu mara nyingi ushirikina ukitumika,lakini usitende kinyume na Mungu simama naye usiende kwa waganga wengi ni waongo na matapeli.
Ikifikia uamuzi wa kwenda huko hakikisha unaenda kwa mtu sahihi mwenye tiba sahihi kwasababu haya mambo pia yapo lakini ogopa kubebeshwa maagano na mihuri ya kuzimu kwenye mapete ya bahati ili usije kuwa mtumwa maisha yako yote badala ya kumwamini Mungu unayaamini mapete.
Kuna mengi kwenye hizi Pete ivae ukiwa unajua kwa hakika umevaa kitu gani.
Umesema kweli kiongozi, tujadili post bila kuhusisha majina ya watu au siasa.Hapana tusiende huko ili tuweze kufurahia post yetu...zikishaingia siasa hapa yatakuwa mengine
Yeuuuwiii uuuwiiiii yeeeuuuu....unamchokoza??Sawa tumekupata kiongozi, ila Kuna bidada mmoja namsubiria hapa aje atoe ya moyoni, yule hakosi jambo hapa hakika
Got it, sorry mateNoted...!sikutaka tu tuwape nafasi wachafuzi wa post
***Watu wana ifuruga kwa makusudi hi post sio vizuri iwacheni kama ilivyo ita wasaidia watu wengi,sio vizuri kuzi husisha pete za viongozi wetu waki roho nahizi zaki shwetwani.