Dr.adams faida
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 1,874
- 3,306
Kifupi tu KOROMIJE..ni. Jina la hiki kijiji, jina hili limetokana na wasukuma kushindwa kutamka jina la mzungu mmoja ambaje alikuwa anaitwa JONATHAN mzungu huyo Alikuwa na kisima cha maji pale kijijini ambapo wananchi wengi walitumia kisima hicho kwa ajiri ya kuteka maji.. Wakijilawa(waliamka) asubuhi na mapema na mara nyingi walikuwa wanamkuta kalala... kasheshe ilikuwa kwenye kuamuamsha ili aje awafungulie wakawa wanalitamka vibaya kwa bahati mbaya mzungu alikuwa hajui kisukuma vizuri... mwisho wa siku ili jina lisiendelee kuharibiwa basi akawaambia kwa kiingreza kuwa "Call me J" yaani "muwe mnaniita J" sasa kwakuwa alitamka na hakuliandika kiasi kwamba watu wajue aliaanisha nini wao wakachukua kama ilivyotamkwa na wakaita KOLOMIJE ikawa ndo jina la kijiji
hiki kizungu tukiache tu maana kilikuja kwa ndege