Mwalubadah
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 222
- 271
Bado tathimini ya JFNilikuwa nafanya utafiti[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Bonyokwa nyingine ipo wapi?Kumbe Bonyokwa zipo mbili
Au Manzese kwa Mfuga MbwaSijasema kuko vibaya, ni vizuri mtu kusema ukweli kuliko kudanganya actually nilivutiwa na hilo jina ingeweza kuwa hata Tandale kwa mama zakaria.
Umetoka mapovu sana ila hapo mwisho nimekuelewa aya hongera kwa kumiliki gari[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mtoa mada bado elimu yako ni kidogo sana au inawezekana umesoma ila hujaelemika.
Sio kweli kuwa kila kitu cha kimaendeleo kitakachokuja kitakuja na mazuri tuu. Unatakiwa ujue vipi vizuri as kwa upande wako na inategemea mtu na mtu anaamini vipi kuhusu uzuri wa kitu. Unataka watu waweke picha wakiwa wamevaa mavitenge tuu na mandhari yao ikiwa ni kwa mnyamani au manzese au mbagala? Ili nini kwa mfano? Binadamu wanapenda vitu vizuri tuu nikwambie usipate presha ukiona watu wako sehem nzuri au wana drive, hata kama mtu amepiga picha akiwa ana drive na hata kama gari sio lake sio tabu kwani mtu kuonyesha ana drive ni kitu kizuri, nani asiyependa kudrive? Unataka waweke wakitembea na watu hawapendi kutembea? Zamani wakati sijanunua gari nilikua napiga picha na magari ya wenzangu nadhani iliniongezea ari ya kutaka kununua langu siku moja.
Tabata segereaBonyokwa nyingine ipo wapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ungemuuliza anasoma kozi gani?
utaskia "mi nasoma kombinesheni ya sayansi"
Ndo hiyohiyo hakuna nyingine sema imeungana na kimaraTabata segerea
Huo ni mfano tu, nilikuwa namaanisha mtu anadanganya sehemu anayokaa. Na sio kwamba kimara BONYOKWA kupo hovyo!Kimara Bonyokwa mbona pako pw sanaa au mtoa post umejichanganyaa ?
Sent from my VFD 300 using JamiiForums mobile app
Mkuu, hebu nielekeze namna ya kujitoa. Nimekua member since 2008 na nimeacha kutumia FB nadhani mara ya mwisho mwaka jana Augost, simu zangu zote nimetoa hiyo icon ya FB but still sijui namna ya kujitoa kabisa kabisa. Nielekeze mkuu, please nipo serious.[emoji23][emoji23][emoji23] upo sahihi nilishajitoaga mda sana ata application nilishatoa in my phone kila mtu UDSM jaman dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
accout setting>security>deactivate accountMkuu, hebu nielekeze namna ya kujitoa. Nimekua member since 2008 na nimeacha kutumia FB nadhani mara ya mwisho mwaka jana Augost, simu zangu zote nimetoa hiyo icon ya FB but still sijui namna ya kujitoa kabisa kabisa. Nielekeze mkuu, please nipo serious.