Usilime hilo shamba kwa sasa mpaka nitoke jela

Usilime hilo shamba kwa sasa mpaka nitoke jela

Django

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
354
Reaction score
147
Kuna jamaa alifungwa jela miaka 7 kwa kosa la wizi wa mamilioni ya pesa. Baada ya miaka 2 akiwa jela anapata barua toka kwa babake, Mwanangu mpendwa umeniacha ktk hali ya uzee na maradhi, wakati wa kutayarisha shamba umefika, na sina mtu wa kunilimia, natamani ngekuwepo ukanisaidia kulima na kupanda mahindi. Tutaonana mungu akipenda.

Mtoto akajibu. Baba tafadhali usije lima ktk hilo shamba kwa sasa mpaka nitoke jela, pesa zote nilizoiba nimezifukia ktk shamba hilo.Kwa kuwa barua zote za wafungwa husomwa na polisi wa gerezani. Baba siku ya pili alipoamka akakuta polisi zaidi ya 100 wanalima shamba. Mpaka wakamaliza wasipate kitu. Mtoto akamwandikia babake. Mpendwa baba natumai msaada niliokupa umeufurahia, panda mahindi sasa Mjini akili shamba kilimo
 
Yaani nawaangalia wanavyolima hawa jamaa na vibunduki vyao mabegani afu kwa haraka kweli kweli kama wanashindana
 
Kuna jamaa alifungwa jela miaka 7 kwa kosa la wizi wa mamilioni ya pesa. Baada ya miaka 2 akiwa jela anapata barua toka kwa babake, Mwanangu mpendwa umeniacha ktk hali ya uzee na maradhi, wakati wa kutayarisha shamba umefika, na sina mtu wa kunilimia, natamani ngekuwepo ukanisaidia kulima na kupanda mahindi. Tutaonana mungu akipenda.

Mtoto akajibu. Baba tafadhali usije lima ktk hilo shamba kwa sasa mpaka nitoke jela, pesa zote nilizoiba nimezifukia ktk shamba hilo.Kwa kuwa barua zote za wafungwa husomwa na polisi wa gerezani. Baba siku ya pili alipoamka akakuta polisi zaidi ya 100 wanalima shamba. Mpaka wakamaliza wasipatesasa Mjini akili shamba QUOTE]

Jamaa anaakili ka zangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom