Usikurupuke wala Usitangulize Mihemuko

Mm naona ingekuw vyema kabla ya ndoa wahusika wakuu waingie kwny dini zao wafundishwe somo la ndoa kwa mwaka mzima ndio jambo ndoa lifanyik.
Hii itapunguz vilio na mmomonyoko wa ndoa za kileo
Kwa Catholics nadhani na KKKT huwa wanapewa semina ya siku tatu,mategemeo yoote ya mabadiliko kwa wanandoa hufundishwa na pia kueleweshwa nanma ya kukabaliana nayo.

Kwa jicho la kawaida kwa wanaozingatia kukabaliana nazo ndani ya miaka sita ya ndoa yao hawa hutoboa.
 
Mm naona ingekuw vyema kabla ya ndoa wahusika wakuu waingie kwny dini zao wafundishwe somo la ndoa kwa mwaka mzima ndio jambo ndoa lifanyik.
Hii itapunguz vilio na mmomonyoko wa ndoa za kileo
Swadaqta!
 
Huko tunakoenda ni kibaya zaidi watu wanapenda harusi kuliko ndoa
Wavae mashela mazuri Magauni mazuri picha zipigwe location safi apewe zawadi apost na apostiwe mitandaoni na marafiki
Mungu atusaidie
 
Huko tunakoenda ni kibaya zaidi watu wanapenda harusi kuliko ndoa
Wavae mashela mazuri Magauni mazuri picha zipigwe location safi apewe zawadi apost na apostiwe mitandaoni na marafiki
Mungu atusaidie
Watu wanapenda harusi lakini sio ndoa 😂
Leo kuna khutuba ya Shehe mmoja imenijenga sana na alikuwa anazingumzia haya haya mambo ya ndoa.
Leo hii Wakinadada wanafuata hela na sio mume bora na Wazazi wao wanafurahia na kutoa baraka zote na Vijana wa kiume wanataka Binti mwenye degree na shape wakati hata Ilimu ya dini hawajaishika. Kwakweli mambo yamekuwa tofauti sana nyakati hizi. Tunaendeshwa na hisia hasi zisizo na uhalisia
 
sioi... sitaki mtoto....

case closed
 
Kweli kabisa
 
Catholics miezi mitatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…