Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Kiongoz km nilikwambia kinachonisumbua,nakaz 1 iyo inanisumbua kweli ni kma miez 2 xaxa imeshakula 70 elfu jna 2 katoka kuomba 25 elfu adi xaxa nawaza nimpe ama rahaa mana kw kipindi chte icho ata rangi ya nguo yake ya ndani c ijuiTeam kiumeni usikubali kwa namna moja ama nyingine kuendelea kupigwa mizinga ya hapa na pale bila kuona ndani kwa kigezo kuwa unachunguzwa kama una tabia nzuri ama la!
Nitakubali kuchunguzwa endapo mizinga haitahusika kwa namna moja ama nyingine nukta.
Kwa huu uandishi lazima upigwe tu (sipo serious sana)[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]Kiongoz km nilikwambia kinachonisumbua,nakaz 1 iyo inanisumbua kweli ni kma miez 2 xaxa imeshakula 70 elfu jna 2 katoka kuomba 25 elfu adi xaxa nawaza nimpe ama rahaa mana kw kipindi chte icho ata rangi ya nguo yake ya ndani c ijui
Kajifunze kwanza kuandika vizuri tena kiswahili sanifu..huwezi acha pigwa mizinga kwa uandishi mbovu kama huu wa fesibukuKiongoz km nilikwambia kinachonisumbua,nakaz 1 iyo inanisumbua kweli ni kma miez 2 xaxa imeshakula 70 elfu jna 2 katoka kuomba 25 elfu adi xaxa nawaza nimpe ama rahaa mana kw kipindi chte icho ata rangi ya nguo yake ya ndani c ijui
Unaibiwa.. Ukute kuna mjanja anakula dadeq!Kiongoz km nilikwambia kinachonisumbua,nakaz 1 iyo inanisumbua kweli ni kma miez 2 xaxa imeshakula 70 elfu jna 2 katoka kuomba 25 elfu adi xaxa nawaza nimpe ama rahaa mana kw kipindi chte icho ata rangi ya nguo yake ya ndani c ijui
😀😀Kwa huu uandishi lazima upigwe tu (sipo serious sana)[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]
Kazingua sana [emoji51]😀😀
Mwanaume unaandika kama mwanamke???
Ushapigwa mkuu hakuna namna[emoji2] [emoji2] cha msingi mwambie unaumwa sana unataka aje kukuona then akifika unafanya yakoKiongoz km nilikwambia kinachonisumbua,nakaz 1 iyo inanisumbua kweli ni kma miez 2 xaxa imeshakula 70 elfu jna 2 katoka kuomba 25 elfu adi xaxa nawaza nimpe ama rahaa mana kw kipindi chte icho ata rangi ya nguo yake ya ndani c ijui
😀😀
Mwanaume unaandika kama mwanamke???
Kajifunze kwanza kuandika vizuri tena kiswahili sanifu..huwezi acha pigwa mizinga kwa uandishi mbovu kama huu wa fesibuku
Kwa huu uandishi lazima upigwe tu (sipo serious sana)
Kajifunze kwanza kuandika vizuri tena kiswahili sanifu..huwezi acha pigwa mizinga kwa uandishi mbovu kama huu wa sawa mwalimu,nitakuja darasani kwko umeniweke xawa.
😀😀
Mwanaume unaandika kama mwanamke???
Kwaiyo ukaona unifananishe na mwanamke😀😀
Mwanaume unaandika kama mwanamke???
Usinifikirie vby mkuuKwaiyo ukaona unifananishe na mwanamke
Kajifunze kwanza kuandika vizuri tena kiswahili sanifu..huwezi acha pigwa mizinga kwa uandishi mbovu
lnatosha mkuu tuludi kwenye mada mana umenikalia kooni adi nashindwa kunywa maji
Naunga mkono hoja, hakika mkono mtupu haulambwi...Mizinga pia ipo ndani ya uchunguzi kama u mbahili au la
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hutaki kuchunguzwa? mkuu?Sheria ni ile ile nipe nikupe
No sexy no money
Hongera wife materialTofautisheni mahusiano na kuuziwa huduma.
Kama una lengo la kuanzisha mahusiano petty cash kwa ajili ya mpenz wako haziwezi kukutoa roho ukaja anzisha mada hapa. Hii ni kwa pande zote wa kike na wa kiume, yaani hata msichana kama ana lengo la kuanzisha mahusiano hawezi kupiga mizinga isiyo na kichwa wala miguu. Badala yake mwanamke akihitaji shekeli yako atakwambia anaenda kuifanyia nini na itakuwa aidha kwa maendeleo yako au yenu pamoja.
Mfano unaweza kutana na mwanamke anayetaka kuanzisha mahusiano na wewe na hana uwezo wa kutosha walau kukununulia zawadi. Huyo atalazimika kukuomba njuruku ili akusapraisi na kazawadi, baada ya kukupa hiyo zawadi ndo atakwambia ile hela uliyonipa nimekununulia soksi na saa ya mkononi kama zawadi yako kutoka kwangu na kiasi nimetumia nauli na makaratasi ya kufungia zawadi.
Ila kama mahusiano ni ya usiku mmoja uliosimama aka one night stand huyo akupe huduma na wewe toa hela maana baada ya hapo hakuna kufatana fatana.
Kuna mwanaume mmoja nilimpenda sana nianze nae mahusiano, kumbe yeye alinichukulia kiburudisho, siku moja akanisapraisi akaniita Steers enzi zile bado haijabomolewa pale opposite na ofisi za TANESCO zamani, akanionesha funguo ya gari amnunua..... unajua sikufurahi na nilimwambia umekosea ungeniuliza kwanza kabla hujanunua. Nakumbuka nilimwambia hivi...... huna asset yoyote kama mwanaume zaidi ya simu ya mkononi maana pia alikuwa anaishi kwa rafiki yake. Gari yeneyewe amenunua haikuwa mpya yaani used Japan, ilikuwa used hapa Bongo, nikamwambia umerahisisha usafiri wa kwenda kazini ila umeongeza gharama ambazo kwa wakatio ule niliona ni luxury maana usafiri wa umma haukuwa wa shida sana.
Jamaa akachukia kuwa sijafurahia mafanikio yake ila mie nilimwambia nakutakia maendelea kama kijana, hata kama hautakuja kunioa mimi ila jijenge wewe ni mwanaume acha starehe akaniona namfundisha kama vile mie ni mama yake. Tukaja kuachana ila hadi kesho ananikumbuka na kutamani arudishe muda nyuma ili niwe mkewe... ila ndo hivyo alioa mwingine na mie sitaki hata kumsikia nakula starehe kwa raha zangu na sikuwa namuomba omba hela japo yeye alikuwa mfanyakazi nami nilikuwa chuo.
K' Matata.
Amekuwa TRA yy tuanze kuchunguzana agundue nn sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] hutaki kuchunguzwa? mkuu?