Usikubali Kuishi Bila Breki!

Alloyce PR

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2020
Posts
803
Reaction score
867
"Ukiwa na akili ndogo katika dunia hii, utajikuta mtumwa wa matamanio ya mwili hadi siku mwili utakapoamua kukuangusha kwa aibu. Angalia mfano wa Mzee Mussa Hassan Ntakula (70) wa Kijiji cha Ngalinje, aliyehukumiwa kifungo cha miaka 20 na hakimu wa mahakama ya wilaya ya Masasi tarehe 27/06/2025 kwa kuchezesha uume wake kwa mwanafunzi wa darasa la sita mwenye umri wa miaka 13. Uzee wa hovyo haukumletea busara, bali fedheha. Usiishi ukitawaliwa na mwili, ishi kwa akili." — Alloyce, P.R.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…