Usiku wa mbalamwezi, unakumbuka nini?

Usiku wa mbalamwezi, unakumbuka nini?

pocha2

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
890
Reaction score
396
Leo kweupe, inanikumbusha michezo ya utotoni.

mwezi.jpg


 
Nakumbuka enzi hizo nikiwa kwa marehemu bini kiloleni Tabora ananipa hadithi za kweli na matukio miaka yao ya nyuma hasa kuhusu wanyama
 
Back
Top Bottom