Usiku wa kwanza wa ndoa freestyle
Sihitaji kampani, niko deep romance hadi kwapani.../
Hili gari naliweza niachie usukani, nipite nalo muheza nikawasalimu pwani.../
Bed linanijua kua
Scars kuchoka ni nadra, nakamua kiume bila msaada wa viagra.../
Harufu ya marashi inaongeza stimu, nifanye ka gwajima tujirekodi kwa simu.../
Mpishi wa mapenzi acha nikupe maujiko, dadeki zege la leo halilali hata aje fundi maiko.../