Sanctus Libela
Member
- May 22, 2026
- 49
- 99
Bakurutugesti gani hiyooo
Nikienda kupima saivi itasoma?
HapanaUlikojoa?/
Subir baada ya wiki 3 mpk 4Nikienda kupima saivi itasoma?
Bia na Konyagi ni Sumu kabisa.Nikapiga konyagi ya kati na bia 3. Nilipata vaibu kinoma.
Ndio tayari, kwisha weweHongereni wanasimba kwa pira zuri hakika mmeonesha mwanzo mzurii. Aisee jana baada ya mechi kuisha nilikaa nisikilizie Usiku wa Bongo fleva. Nikaagiza kinywaji ili nivutie muda. Nikapiga konyagi ya kati na bia 3. Nilipata vaibu kinoma. Pembeni alikuwepo malaya fulani anacheza si nikajichanganya aisee hawa hawahitaji pesa ili mradi tu bia 1. Ilipotimu saa7 huyu malaya kanambia nisiende nyumbani wife ataleta noma. Basi nikakubali kwenda ghetoni kwake. Nimefika nikavua nguo vizuri cha ajabu uume hausimami. Shika shika awapi, ikabidi tulani kwanza. Ilipotimu saa8 nikamwamsha mara hii mnara ulikuwa imara nikavaa ndomu. Nikaanza kuhangaika naye. Ghafla nikasikia imepasuka aisee alinikata stimu hapo hapo. Sasa wataalamu nipo hapa kuomba ushauri je, nitakuwa nimeukwaa?
atumie PEP zile ARV za kujilindaSubir baada ya wiki 3 mpk 4
Wasiwasi upo maana nimeoa najisikia vibaya sana wife anaponiomba mechiBia na Konyagi ni Sumu kabisa.
ππππ
Ukute hata hukuwa na nia ya Kulombana.
Alaf usiwe na wasiwasi bro.
Yeye atakuwa ameukwaa kutoka kwako.Hongereni wanasimba kwa pira zuri hakika mmeonesha mwanzo mzurii. Aisee jana baada ya mechi kuisha nilikaa nisikilizie Usiku wa Bongo fleva. Nikaagiza kinywaji ili nivutie muda. Nikapiga konyagi ya kati na bia 3. Nilipata vaibu kinoma. Pembeni alikuwepo malaya fulani anacheza si nikajichanganya aisee hawa hawahitaji pesa ili mradi tu bia 1. Ilipotimu saa7 huyu malaya kanambia nisiende nyumbani wife ataleta noma. Basi nikakubali kwenda ghetoni kwake. Nimefika nikavua nguo vizuri cha ajabu uume hausimami. Shika shika awapi, ikabidi tulani kwanza. Ilipotimu saa8 nikamwamsha mara hii mnara ulikuwa imara nikavaa ndomu. Nikaanza kuhangaika naye. Ghafla nikasikia imepasuka aisee alinikata stimu hapo hapo. Sasa wataalamu nipo hapa kuomba ushauri je, nitakuwa nimeukwaa?
Hizi nazipataje mkuu kwenye pharmacy zipo?atumie PEP zile ARV za kujilinda
hazipo mpka hospital au zahanatiHizi nazipataje mkuu kwenye pharmacy zipo?
Malaya huwa wanazaliwa naoYeye atakuwa ameukwaa kutoka kwako.
Hao Malaya ukikuta mwenye akili anajilinda zaid ya hata hao ambao wana tembea na ma X zao.Wasiwasi upo maana nimeoa najisikia vibaya sana wife anaponiomba mechi