McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,562
- Thread starter
-
- #21
Jerrymsigwa tena akienda kupiga kura anachagua MaCCM!!
Jamani watu waelimishwe wajue haki zao, miaka 50 ya uhuru watu wanachota maji kwa shida hivyo??
Hii haiwezi kuwa Tanzania bana tusidanganyane
Sent from Nokla using Jf app
View attachment 146689View attachment 146690
Kaka ukiona unabonyeza au kuvuta kamba tu maji yana flash mzigo huku nyumbani hali bado ni tata hii ni hapa kwa Nyerere maeneo ya kwetu Kilwa mkoa ni Lindi na nchi ni Tanganyika wakati mtawala wetu ni jembe na nyundo amini ivo kama hauamini niambie nikutumie ushahidi wa mwisho inauma ila ndio hali halisi wakati tunahangaika na iPhone 5 mama zetu hata maji hawajui watayapata vipi.
Dah aisee so sad, huko Lindi na Mtwara ni kama serikali ilipasahau! Nimeshawahi ishi Nkasi Eneo la Namanyere kuna shida yaani lkn sio hivyo!
Dah wacha wazungu watudharau tu
Sent from Nokla using Jf app
Yeap umenena kaka mimi niliwahi kukugombana na mdogo wangu kisa simu mara baada ya kutoka Sumbawanga kikazi nikamwambia simnunulii simu mpya baada ya kuona watu wanakosa hata pesa ya mahitaji ya lazima kama chakula wakati yeye anahangaika na matoleo mapya ya samsung
Inasikitisha sana viongoz wetu wanaenda ulaya na amerika hivi hawaoni tofauti? Kununua magari bei kuuubwa, wkt life ndio ivyo inauma sana
Sent from Nokla using Jf app
Ya kufua shuka yatapatikana mpaka maji yatakapoanza kutoka.
View attachment 146689View attachment 146690
Kaka ukiona unabonyeza au kuvuta kamba tu maji yana flash mzigo huku nyumbani hali bado ni tata hii ni hapa kwa Nyerere maeneo ya kwetu Kilwa mkoa ni Lindi na nchi ni Tanganyika wakati mtawala wetu ni jembe na nyundo amini ivo kama hauamini niambie nikutumie ushahidi wa mwisho inauma ila ndio hali halisi wakati tunahangaika na iPhone 5 mama zetu hata maji hawajui watayapata vipi.
alafu bado watu wako bungeni wanagawana laki tatu kwa siku
na usawa ukipatikana nahisi ndio utakuwa mwisho wa duniaWakalala hazitoshi kweli hakuna usawa kwenye uso wa dunia