Usiku Mwema

Jana kwenye habari ya bbc swahili kwenye tv walionyesha jamaa akitaka kukwapua pesa dukani akiwa na pisto lakini jamaa wa duka akatoa panga jamaa mwenye pisto aritoka mbio,sasa hata huyo kwenye picha isije kuwa mbwembwe tu!!
 
huyu si yule Naibu waziri alivyokua amelala hotelini Morogoro lakini Changudoa akamuibia kila kitu vilevile! Unakumbuka?

Ha ha ha...namkumbula ila alisema eti mtutu wake ailuweka kabatini...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…