Usiku mwema

Usiku mwema

lukac

Senior Member
Joined
Apr 8, 2012
Posts
122
Reaction score
35
Nawatakieni usiku mwema wanajamii forum wooote....................................................., isipokuwa wale wanaofanya kazi ya ulinzi.
 
Acha dharau kwan sisi huwa hatuna usiku

Acha hasira, isitoshe anatania. Lucas na wewe umesabisha hasira kwa wenzio, wakati ujao ututakie usiku mwema wana jf wooooooooooooooooote pamoja na walinzi kwani hata wakiwa lindoni bado wanahitaji kuwa na usiku mwema kwa kuwa usiku usipokuwa mwema kwao, wanaweza wakavamiwa au kushawishiwa kujiingiza katika vitendo viovu, hivi haujawai kusikia kwamba kuna walinzi ambao huwa wana kula njama za kujiibia, kwa hiyo husipowatakia usiku mwema wanaweza kukumbwa na zahama ya vishawishi, au kuvamiwa.
 
Kwani usiku mwema lazma kulala?
Walinzi nao wanahitaji usalama
 
haa, so walinzi wote usiku mbaya? hahahahahahaahha
 
Mbon walinz wanazngua, kwanza wengi ndo wezi wakipata gap la kuiba. Hao wa2 huwa halali so usiku mwema kwao haina manaa....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom