Usiku Mwema

realMamy

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2024
Posts
7,331
Reaction score
18,320
Wataalamu wa afya wanasema ili kupata utulivu na kuondokana na msongo wa mawazo, hakikisha unalala kwa masaa 7 hadi 8 na kuepuka kutumia simu kabla ya kulala.

Unaweza kusikiliza nyimbo za utulivu ili kupunguza uchovu wa siku nzima.
 
Naomba uniambie usiku mwema pm , nitafarijika sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…