Usiku huu Yericko Nyerere hatapata usingizi

Usiku huu Yericko Nyerere hatapata usingizi

Mwenye connections ya vitabu vya huyu mwamba atupe link tukanhnue😂
Screenshot_20251116_232159_X.png
 
Hawa maskini wa chadema humu jukwaani Wana tabu sana. Kushindwa kwao maisha kunawafanya wawe na roho mbaya mnooo.
 
Siasa zake zimemharibia, bora angebaki kwenye chama chake cha zamani huenda angepata hiyo tuzo
 
Cancel culture, mitandao ina nguvu.
Akale jeuri yake ameguswa pazuri.
Next time nikwenda Amazon ktk vitabu vyake kutoa bad reviews.
 
Back
Top Bottom