Usiku huu Yericko Nyerere hatapata usingizi

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
10,730
Reaction score
34,061
Vijana wamempiga chini katika tuzo wameona ni heri wampigie kura mzambia 🤣🤣 mwamba hadi kafuta post ya kuomba kura

Mzambia ni mwenda wa kushukuru vijana wa bongo, hata haaamini mtoto wa watu 🤣 ila bongo nyosooo bongo balaa
 
Hivi kwanini alijiita Nyerere?

Kwanini anachafua jina la mtu mwenye heshima kubwa?

Alishindwa kujiita jina hata la yule rais wetu wa Malawi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…