Usiku huu nimepata tabu sana

Usiku huu nimepata tabu sana

Free-will

Member
Joined
Aug 8, 2018
Posts
15
Reaction score
46
Habari wakuu.

Jana wakati natoka kazini narudi nyumbani nikaona nipitie kwa mama ntilie ili nikifika geto mimi niangushe tu, nimemaliza kula nimefika nyumbani nimefungua geti naelekea kupaki gari mbele nikaona watu wawili wamekaa kwenye viti, ile sehemu waliyokaa mara zote hua ndio napaki gari yangu pale nikaona sio kesi nikaibana kwa pembeni yao kidogo nikashuka, alikua ni binti jirani yangu yupo na jamaa ambae sikua namfahamu, ila nilipo muangalia jamaa kwa haraka haraka alikua yupo kazini maana aliweka vifaa vyake vya kazi pembeni huku yule binti miguu yake kamuwekea jamaa na jamaa alikua kama anamkwangua kwenye kucha na kifaa fulani ivi, nikajua yupo kwenye kutafuta ridhki nikawapita nikatoa salamu aliitikia binti tu mimi nikaendelea na safari yangu ya kuingia ndani.
Baada ya maandalizi yote ya kulala nikiwa nipo kitandani kuna kamvua flani ivi nikawa nakahisi kwa nje, haikua mvua kubwa ila ilitosha kumlowesha aliekua kwenye hiyo mvua, basi ikawa kama inanibembeleza flani ivi huku nikiutafuta usingizi, kwa mbali nikaskia viti vina buruzwa nje nikaangalia dirishani nikaona yule jamaa na yule binti kama wanazungumza ivi huku wamesimama, kwa haraka haraka nikagundua walikua wanajadili wataendeleaje na kusafisha kucha na mvua inawapiga, ila mwisho wa siku yule dada akaona amwambie yule jamaa wakamalizie ndani kwake ile kazi ya kusafisha kucha, wakaongozana kuingia ndani maana hii nyumba haikua na kibaraza, aaah mimi wala sikua na wasi wasi maana yule binti anasifika kwa msimamo hapa mtaani.
########################

Kwa kifupi hii nyumba ilivyotengenezwa iikua ya familia ina master room, room mbili ambazo ni single, hizi room zilikua ni kwa ajili ya watoto, na sebule ambayo ina bafu na choo kwa ajili ya zile single room. Mimi nimejenga mbali kidogo na mji halafu sina familia nikawa naona tabu sana kuamka asubuhi kwenda mjini kuwahi kazini, nikaona nitafute nyumba maeneo ya karibu na kazi na nilikua nataka kupanga nyumba nzima, nikatafuta dalali ambae alinipeleka kwenye nyumba tofauti tofauti kama 6 ivi na zote sikua nimezipenda, yule dalali akampigia dalali mwenzie kama ananyumba akatuoneshe, kama kawaida ya madalali hata kama hana nyumba atasema anayo, basi akatuleta kwenye nyumba hii, ninaingia ndani anaanza kutoa maelezo yule dalali, hii master haina mtu ni nzuri hebu angalia tiles, maji masaa yote sijui rangi nzuri maneno kibao, akaanza kutambulisha na zile room nyingine room hii ya kwanza karibu na mlango huu wa master room anakaa dada mmoja ivi mwanachuo anasoma sheria na ile pale nyingine anakaa pia dada mwengine kwa hiyo mpo watatu tu nyumba nzima, geti lipo nje na kila kitu mnajitegemea..., nilishindwa kuendelea kumsikiliza yule dalali maana hasira zilisha nipanda mimi nataka nyumba nzima unakuja kunionesha master room, nikatoka nje nikawaacha wanajadili ndani yule dalali mmoja alishashtuka nimekasirika maana nimechoma mafuta sana kwa siku hiyo halafu hakuna kilichofanikiwa, wakati nipo nje nawasubiri watoke tuondoke nikahisi kama kuna mtu anakuja uelekeo wangu ivi, mara akatokea binti mmoja mbele yangu kwa uchangamfu mkubwa na kwa tabasamu akanisalimia, yule dada kwa jinsi ile salamu alivyoitoa ikaniondoa hasira zote, muacheni Mungu jamani hawa viumbe sijui wametoka sayari gani hawa, akaniuliza vipi kaka mbn uko peke ako na sijawahi kukuona maeneo haya kuna shida nikusaidie? Kwa maswali haya nikajua huyu ndio yule mwanasheria, nikamjibu nimekuja kuangalia rooma dada angu, akasema anhaa.....! sawa maana sio kawaida watu kuingia kweny geti la kwetu hapa ndio maana nimekuuliza kwa usalama zaidi maana hapa tupo mabinti tupu, nikamwambia usijali nimekuelewa, vipi mbona kama hujaipenda room akaniuliza? Nikamjibu hawa madalali wanazingua nataka nyumba wananileta kwenye master room, akasema ila sio mbaya kama hauna familia... huku akiondoka nilifanya kosa kubwa sana kugeuka kumwangalia wakati anaondoka kuelekea ndani, nikajikuta nina kaa chini mwenyewe bila kujielewa kwa bahati nzuri kulikua na kitofali ivi nikawa nimekikalia vinginevyo hata kama kungekua na maji chini ningekaa kwenye maji, wakati bado nipo kwenye hali ya sinto fahamu wale madalali wawili wakawa wamefika yule wa kwanza niliekua nae tangu mwanzo akawa ananiomba msamaha akijitetea hakumpa maelekezo ya kutosha mwenzake, nikawaambia msijali mwenye nyumba yupo wapi nilipe sasa ivi? Madalali wote walishangaa....! wakaasema brother kua siriaz kidogo... nikawaambia biashara hamfanyi..? mimi sina familia hapa nimeona patanifaa, yule dalali wa pili akawa anajitamba kwa mwenzie si unaona nina nyumba kali sana mteja hachomoi, mazee.. Nilipa kodi siku iyo iyo tulimfuata mwenye nyumba alipokua anaishi ndani ndani huko nikakalipa.
############################

Basi nikiwa napitiwa na usingizi na kabembelezo ka mvua ile.. nilijihisi kama nipo peponi kwa raha ya ule usingizi uliokua unakuja na mvua ilivyokua inapiga na upepo mzuri ulivyokua unapuliza, ila nikawa naskia sauti kwa mbaaali... Sauti flani ivi iliyotulia sauti ambayo ilikua inaonesha nafsini kuna raha ambayo haijawahi kutokea tangu dunia kuumbwa..

Nikashtuka usingizini... Nikajiuliza ninaota au hii sauti naiskia kweli kutoka room ya jirani yangu hapo? Ghafla usingizi ukaniisha maana ni mwezi wa nne huu tangu nimehamia hapa namhangaikia sana huyu jirani yangu mwanasheria namkosa, nikasema niwe makini zaidi nipate uhakika ile sauti ni kweli ninaiskia au ni mvua hii tuu inajaribu kudanganya mkaskio yangu?
Wakati naweka umakini kuiskiliza ile sauti kwa bahati mvua nayo ikawa inapunguza speed so nikawa naskia loud and clear voice ya yule mrembo ninaemfukuzia, mrembo ambae alifanya nipange hapa bila kupenda, mrembo ambae angefanya nikalie maji kama kusingekua na kitofali siku ya kwanza kumuona.. Daah..! Roho imeniuma.. Jamani ni kweli ile sauti inatoka room ya yule binti maana angekuwepo yule mwenzake ningefahamu anakawaida ya kuweka redio sauti ya juu sana akiwepo asipokuwepo nyumba yote inakua kimya, halafu kazi yake yule sijui ni mlinzi kuna siku hayupo siku anakuepo,kwa kua leo hakukua na fujo za redio nikajua leo yule dada wa pili hayupo.

Basi ile sauti kadri muda unavyoenda ndivyo inazidi kuongezeka kwa kulalama kwa raha anayopata yule binti, kilichonikera zaidi nikaanza kuskia sauti ya yule njemba nae akilalama kwa raha anayopata kwa yule mrembo.. F...ng nikachukua remote nakawasha radio nikaongeza sauti nisiskie ile miguno, cha ajabu sauti nimeweka kubwa ila maskio yamechagua kuskia sauti ya yule mrembo akilalama, nikazima radio maana nilikua kama najisumbua vile, daaah ...! Huu usiku siusahau kwa kweli mpaka saa saba usingizi hakuna nawaza tu ile sauti ya yule mrembo, nikapitiwa usingizi saa tisa usiku wame resume tena....aaaah..! Siku hii nika amka saa kumi usiku nikajiandaa kwenda kazini maana kila siku naamka saa moja kasoro, ile nafungua mlango wangu niondoke jamaa anafungua mlango wa kwa binti yupo na taulo anaelekea bafuni... Jamaa kanisalimia kwa ukarimu sana nikajiuliza huyu jamaa jana nimesalimia amepiga kimya binti tu ndie aliitika, nikawa nimeshamuelewa nikaitika kwa shingo upande,
NASEMA HIVI.. NIKIJA KUOA MKE WANGU MASWALA YA KUKWANGULIWA KUCHA SIJUI KUSAFISHA NATAFANYA MIMI MWENYEWE.

Naheshimu sana kazi zenu boss zagu ila mke wangu hamtamsafisha kucha labda muje na mbinu nyingine, huyu binti anapagawisha watu wa maana sana hapa mtaani wenye status zao, mim mwenyewe nipo kwenye foleni sijui jamaa alimfanya kitu gani wakati anamsafisha kucha.. jamaa kiulaini kabisa kapiga sijui ni darasa la tatu jamaa yule.. Nasema sina imani na nyinyi tena.

Samahani kwa post ndefu wakuu.
 
Usimruhusu kabisa .hawa jamaa wanafanyaga na massage kwaio wanagusa mishipa ya fahamu. Si unajua nerves zimekuwa connected from brain, spinal cord to the rest of the body. Kwaio zile nerves zimefika mpaka miguuni.wanasafisha kucha na kufanya massage. Mbona wenzetu wazungu na waasia hawana mambo kama haya. Sometimes huwa nasemaga Bora kuoa mzungu au muAsia wale ni wazuri tayari. Hawa dada zetu hawajiamini Kwa jinsi Mungu alivyowaumba ni shida kila kitu artificial kuanzia nywele, ngozi, makucha, rangi. Mungu alikuwa na makusudi kutofautisha mzungu, muAsia na black Africa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aisee!, pole mkuu ila mazingira yalikua yanaruhusu jamaa kufanya hivyo, kuingia nae ndani alaf kazi yenyewe ni ya kumshika shika pamoja na kibaridi cha hiyo mvua vilitosha kabisa kumshawishi huyo dada.
 
dadek wee pesa nagari hajaviona... Alafu mzaramo mmoja kaishia lasaba., mpaka kucha unakuta wamechafuka miguuu Ndio Amekuja kula Nyapu ya Mwanasheria.


Wanawake Waacheni aisee, sema nn, usiumie sana huenda alikua anakuonea huruma kukuunguza so kaamua kumuunguza mnyonge wa watu

Ila wee naye, Demu unamtaka. Upo naye nyumba moja.,,, bado unagar , Kakushinda?????
 
Jaribu siku kumassage unyayo wa binti uone reaction yake..hawa wadada na wamama wanaenda kupata raha tu kwa hawa waosha miguu na kucha

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hawa wapaka kucha wanacheza sana na Nerves , hawajasoma kujua wapi ipo located lkn sasa mbwembwe zao zinawafikisha uko,..

Unakuta Mguu wa demu kaubana na Mapaja yake katikati, sasa madem kwa akili zao, kwakutumia unyayo wanakua wanataka waguse Mashine, nahapo ndo mawasiliano hufanyika mpaka K inaloa chakali .......

Mtu anakula mzigo !!
 
Usimruhusu kabisa .hawa jamaa wanafanyaga na massage kwaio wanagusa mishipa ya fahamu. Si unajua nerves zimekuwa connected from brain, spinal cord to the rest of the body. Kwaio zile nerves zimefika mpaka miguuni.wanasafisha kucha na kufanya massage. Mbona wenzetu wazungu na waasia hawana mambo kama haya. Sometimes huwa nasemaga Bora kuoa mzungu au muAsia wale ni wazuri tayari. Hawa dada zetu hawajiamini Kwa jinsi Mungu alivyowaumba ni shida kila kitu artificial kuanzia nywele, ngozi, makucha, rangi. Mungu alikuwa na makusudi kutofautisha mzungu, muAsia na black Africa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimejifunza mkuu, mke wangu kuja kufanya hizi mambo itakuja kua marufuku kabisa, nitafanya mwenyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom