VPN USED2020OCTOBER28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,505
- 676
Karibuni ndugu jamaa na marafiki
Karibuni ndugu jamaa na marafiki
Hiyo si unakamulia kwenye strungi.Hiyo ni ndimu!?kwani we mjamzito hadi ukae na ndimu...ila nimekipenda hicho kikombe...
Karibuni ndugu jamaa na marafiki
Hiyo si unakamulia kwenye strungi.
Karibuni ndugu jamaa na marafiki
Katika vitafunwa ambavyo sivipendi mkate unaongoza
Sasa ile kazi ya usiku utaifanyaje? Si utaishia "kamoja tu?"
Si waliwasikia waingereza wanaita,'strong tea',wao wakaitamka,'strungi'.Ha ha ha strungi...umenikumbusha kwa babu shy...''nileeni chai ya strungi''
Katika vitafunwa ambavyo sivipendi mkate unaongoza