venine
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 1,458
- 1,571
Mke/ mume bora mtu upewa na mungu, na wakati mwingine mungu anakupa yule mwenye mapungufu sababu anajua wewe ndiye unayeweza kumsaidia kuziba zile gaps, au anakupa usiyemtaka sababu ndio anaweza ziba mapungufu yako wewe au akakusaidia kuwa better (sababu hakuna aliye perfect). kweli kabisa yule anayeonekana kabila lile, elimu ile, rangi ile, mshamba sijui ndio anakuja kuwa mume au mke bora. mwenza hatakiwi kuwa mr/ miss perfect, but mnatakiwa muwe "complement of each other" mmoja hawezi ku-exist bila mwingine na ndio maana ya mwili mmoja^^
TOFAUTISHA LENGO LA MWANADAMU NA LENGO LA MUNGU
Kubali kuwa una lengo na mipango ya kuwa Mke au mme awe kabila lile,elimu ile,umbile lile,rangi lile,Lakini lengo la Mungu likawa tofauti.
^^