Himidini
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 5,534
- 4,193
^^
Uchumba una maana ya kufahamiana undani wa mtu ili ikiwezekana mfikie hatua ya ndoa.Hatua ya kuishi na mwenzako maisha yako yote.Kuna mambo mengi yamesemwa kuhusu mambo ya kuzingatia katika uchumba,lakini wengi bado hawajatambua tofauti ambazo huzua simanzi ya mioyo wawapo katika ndoa.Zifuatazo ni sehemu tu ya tofauti za kutazama
...
TOFAUTISHA PENDO NA TAMAA
Vijana wengi wanaongozwa na tamaa,mihemko ya miili,na mwonekano basi.Siku zote nasisitiza mtu hayuko nje..yuko ndani.Pendo la kweli halina haraka..lina utaratibu
...
TOFAUTISHA LENGO LA MWANADAMU NA LENGO LA MUNGU
Kubali kuwa una lengo na mipango ya kuwa Mke au mme awe kabila lile,elimu ile,umbile lile,rangi lile,Lakini lengo la Mungu likawa tofauti.
...
TOFAUTISHA KATI YA TENDO LA NDOA NA NDOA
Wengi wanadhani tendo la ndoa ambalo kweli limeharibiwa na kuwa ngono basi ni ndoa.Kutoa tendo la ndoa hakuna maana umepata ndoa.Ndoa ni bahari pana.
...
TOFAUTISHA MAOMBI YA IMANI NA MAOMBI YA DINI
Unapotaka mchumba ambae unataka awe mume au mke,sali mwenyewe.Ndoa ina majaribu inataka kuwa na mtu msitahimilivu.Ongea na Mungu..wewe umemkosea nini hata asikusikilize? Maombi ya umati ni mazuri lakini yaongeze kwa funga binafsi.
...
Akupendae kwa lugha zote