Usikose kushiriki haya mazishi

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,315
Naona msafara unaelekea makaburini,
Marehemu anaitwa nani?
 

Attachments

  • 1435829887251.jpg
    25.6 KB · Views: 1,970
Kungekuwa na kadi za mwaliko ningekuwa wakwanza kuipata!
 
Ila kila mtu awe na kadi mkononi
 
Tatizo huwa anakufa na kufufuka tena ingawa hali yake bado haileti matumaini.
 
Mbona kafa kijana sana, kazaliwa 77 juzi hapa, alikuwa anasumbuliwa na nini hasa?
 
tunasubili wanandg kutoka baadhi ya nchi kazaa ikiwemo US, China, msumbuji, nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…