😀😀Yani acha kabisa nati Fulani kichwani itakuwa zinakata mawasiliano😀imenishangaza sana, kwahiyo kama uko financially independent ndo hata mume haagwi jamani,,, ila si wanawake kuna mahali hatuko sawa
Nakusalimia baba jSafi mtoa mada, Nakazia[emoji3578]
UmeniudhiNakusalimia baba j
Nimefanya Nini Tena jamaniUmeniudhi
Tumeumbwa Tofauti,Narudia tena wanawake ni wabinafsi sana tena usiombe awe na vijisenti
Hata hayaelezeki[emoji3525]Nimefanya Nini Tena jamani
huo ni ulimbukeni tu mi naona, kwasababu hakuna uhusiano hapo kati ya ndoa na financial independence😀😀Yani acha kabisa nati Fulani kichwani itakuwa zinakata mawasiliano😀